Thursday, 20 September 2012

Mwenye macho hambiwi ngundua ila ona

Jerry Okungu mtu mwenye busara nyingi sana yeye ukabiliana na nguvu za mafisadi vilivyo K24 kama mjuavyo ni ya wakikuyu na lengo nikuweka sera zao mbele,kutangaza biashara zao na kupindisha ukweli ulivyo,hawa wenzetu wamejipanga zaidi kuliko sisi makabila aya mengine,nawako teyari kuakikisha kwa vyovyote vile utawala umebaki kwao ,ipo kitu kimoja mkae mjue mkikuyu atakutumia kufanikisha mambo yake,
     Na akuna hata siku 1 mkikuyu sheria itamupata na hatia 2007 utawala ulitaka kuwaponyoka lakini wakajipanga upya.

    Nawanatumia baadhi yetu kuzidi kutukanyaga,tusitafute mchawi kenya kwa shida zetu mchawi ni marafiki wa mafisadi.
     Jerry ni mtu na hekima na busara kukabili hao wote akiwa peke yake ni ajabu,wakenya zinaitajika nguvu za ziada kuilimisha jamii ukweli ulivyo apa kenya tangu 1964 kuna hatari yakupoteza tunacho tengemea cha mabadiliko kenya,ufisadi ni mubaya zaidi na ni saratani ambayo twataka tushirikiane kuitoa,
      Kuuwa ndio kulikuwa kwa kenyatta mtoto wake ana nini cha ziada?mtoto wa mbuzi hawezi kua hata siku moja mtoto wa kuku kubali kataa "UHURU HANA JIPYA"

        KENYA TUMEVUMILIA MIAKA 48 JAPO NI 49 LAKINI SOTE TWAJUA VILE KULIENDA
J.M Kariuki,Pio Gama Pinto,Tom Mboya,na OUKO,

TUKATAE KUFYATA NYAYO ZA KENYATTA NA WAUSIKA WAKE WOTE

No comments:

Post a Comment