Nivigumu kujua mtu lakini mpe madaraka ndio umujue wakenya msidanganywe kwa maneno matamu ya wanao taka viti viongozi tunao tukitazama maadili na uaminifu wake silazima mtu awe aliongoza kama kiongozi, au awe ni alishikilia sehemu fulani.
Mtu hawezi kuwa mwema ukubwani kama ni mwizi ni mwizi tu
Kama ni jambazi nijambazi tu
Tuna polis ambae sote twajua alikuwa hana maadili meme utotonilakini kwakua familia yake iko uongozini
anapewa dhamana ya kulinda usalama wetu.
Wengine tunawajuwa kuwa niwabakaji na wanapewa upolisi.
TOM MBOYA HAKUJUA KUA ANAE KAA NAE APA NDIO ATAKAE TOA UHAI WAKE

No comments:
Post a Comment