Niwazi mtu umulinda mtu akiwa kama yeye.Wakenya mkiona kiongozi ashuliki kwa ubaya wa mutu na hali munashitaki.
eleweni pia yeye ni ivyo ivyo na wanalindana kwa kufanya ubaya,hali hii imekuwa ivyo tangu 1964
tukatae wakenya na tu elimishe jamii ili ielewe hali halisi tusishabikie chama sote niwakenya na lazima
tukatae uzembe huu ambao upo.
chochote unachokiona kina fanyika na sisahihi basi sema na kama uwezi niambie mimi nitalisema
ila naomba sana chonde chonde usiwekelee mtu sema tu ukweli.
kama iliwezekana tuka pitisha katiba hii zuri ivi basi inawezekana kenya tuka safisha ikawa safi kama chokaa nyeupe.

No comments:
Post a Comment