Monday, 16 July 2012

Ebu tuweke itikadi na vyama vyetu kando na tumulike nyuma historia inatumulikia wachawi wetu ni nani apa Kenya ili wakenya waamue vizuri kwamanufaa ya sisi sote.

Baada yakufanya kautafiti kangu nimekuja kungundua sijamii yote kuwa imeoza kama ndani ya wakikuyu paliishi mtu na utu J.M Kariuki na Kwa Wahindi mtu kama Pio Gama Pinto basi wasomi tunawategemea tuelimishe jamii ukweli ulivyo

Tusiwachie vyombo vya habari japo tunao wanahabari walio bobea kwa fani zao za uandishi wa habari lakini mwana habari haweza kuwa mzuri lakini

Mwenye kauliya mwisho ni mumiliki wa chombo chenyewe mfano,Mifano ni mingi  yaina yavyombo vya habari hapa Kenya.

Pinto hapa hakuamini kua uyu anae simama nae apa akimupa maneno matamu iwapo uyu uyu ndio angekatisha maisha yake apa duniani hii ilkua 1961 uko marall

No comments:

Post a Comment