Saturday, 5 May 2012

Ushuhuda unaotolewa Je uko vipi?

Sikatai kua Yesu kristo (Issa)aliponya watu wengi tu.

Nasitaki kuuliza kama walivyo uliza wale wa "Pharisees"

na watu wengine"nani mtu huyu ambae anakufuru"blasphemy"

Yesu alipo sema dhambi zako zimesamehewa swahiba wangu.

(Your sins are forgiven,my friend)Luke5;20-21.

Lakini naonelea niwaulize wenzangu kama kweli

Askofu wana nguvu za kuondolea watu shida zao kikweli

kwa nini wasiende

1 comment: