Wednesday, 30 May 2012

Musi mudhulumu yeyote apa Kenya

Wakenya tuna tabia moja ambayo si nzuri ata kwa Mwenyezi Mungu hapendi mtu kuthulumiwa

Nivizuri kua wakweli na kupongeza pale mtu anapo fanya vizuri na kukemea pale anapo fanya

mabaya.Bila yakujali rangi na sehemu anayo toka.

Niwito wangu mtasimama kwa haki na ukweli kuieleza jamii huyu amefanya haya na aya katika

uongozi wake tusipende kuchukua maneno matamu yamutu kua atafanya na hali atakwa familia yake mwenyewe ajafanya ayo anayo ahidi atafanya tusimuchukie mtu kwa sura yake au maumbile yake

ila nawaomba musimaishe haki mara hii.

Kunapingamizi vingi ambavyo mafisadi wamekuwa wakivuweka na wame mwaga pesa nyingi ajabu

apa kenya

Hali hii imekua ikijirudia rudia kila uchaguzi unapo kuja

na mafisadi wezi na wafanya biashara za magendo macho yao yako kwa RAIS

japo kuna habari yakuwa sasa wame unganisha na na wakuu wa county

Haraka wana nchi kupotoshwa kwa ukweli na kuturudisha kwa mikono ya wanyanyasaji

kama tulivyo nyanyasya tangu 1964 Kenya haikuwa hivi ilivyo kama si hawa wenzetu walio

tukanyaga na wanazidi kutukanyaga mupaka waleo

No comments:

Post a Comment