Wednesday, 30 May 2012

KTN Jicho pevu"NISAMEHENI"

Naomba msamaha kwa chomba cha Habari KTN wiki mbili zilizopita nili sema vyombo vya habari

Vyote apa kwetu KENYA ni vya MAFISADI

Nabadilisha kauli hii kwa JICHO PEVU KTN

KTN Mumeonyesha kua nyinyi mko kwa wanyonge kina sisi kwakuwa jicho pevu limefungua macho

wakenya wengi

nikazi zuri lakini isiwe kama msemo ule mgema akisifiwa ulitia tembo maji heko

Watumishi wa KTN Wote sio Mohamed Ali peke yake bali sifa hizi zafaa kwenyu nyote

watumishi wa KTN Asanteni

No comments:

Post a Comment