Saturday, 14 April 2012

Mtu kuondoka sehemu ni BARAKA

   Uchaguzi uki karibia mtaona vituko vya kila namna lakini nawa sii wakenya msipoteze muelekeo au msirubuniwe(danganywe)

   Wakutufaa twamujua kutokana na historia yake na shida alizo pitia kwa sababu ya wakenya wote,
Tukae tujue kuwa kuna mkusanyiko wa

1; Wezi

2;Waporaji

3;Wanyakuzi

4;Wafisadi

5;Wauwaji

            Na hawa wote wamekusanyika kuzuiya mabadiko Kenya

Pesa wanazo nyingi sana na wako teyari kuzuiya mabadiliko tukae tujue kuwa wa KENYA Zinaitajika nguvu za pamoja ili kujikomboa

 Hawa watu wana kila kitu vyombo vya habari ni zao na ndio wameshikilia Kenya tangu 1964 mpaka waleo

 Tushika mane sote ili tuelimishe wapiga kura wajue kura yao yaeza leta mabadiliko hapa kenya

     Tusimamie ukweli na sio porojo

No comments:

Post a Comment