Thursday, 26 April 2012

Apa lazma tuwa wajibishe wahusika wakuu

Polisi kazi yake nikulinda usalama na mali apa Kenya.

Nijambo la kuhuzunisha kuona juzi wameshambuliwa na kupokonywa silaha zao na kitendo hichi kingetendwa na watu kutoka sehemu zengine tungeona na kusikiya atua mbali mbali ziki chukuliwa.

"MUNGIKI" Nani uyo anae wapa ujeuri wakupiga hata mapolisi kama baadhi ya vigogo serikalini.

Apa kuna mchezo mubaya unaendelea na tusipo chunga KENYA Mabadiliko tunayo tarajia hayata patikana.

Yatakiwa kuchambua mambo kiundani zaidi na sio ki juu juu.

Wakenya msiadaiwe ni baadhi ya watu vurugu apa KENYA Zinaletwa ni matajiri wezi na wameungana vilivyo kuakikisha mabadiliko  hayawi ya ukweli.
 Tukatae na tuilimishe jamii ijue nani ndio nani na kila siku wabaya wetu wazidi kubainika

1 comment: