Thursday, 26 April 2012

Mtetea Wauwaji piya yeye ni "MUUWAJI"Paul Muite

Kenya hakuna hajui kuwa "MUNGIKI"Nikikundi ambacho kime uwa wa Kenya chungu zima na sio 2007 bali ni toka na hapo mbeleni hata kabla ya uchaguzi.

Imefika mpaka wananijitamba kuwa serikali ni yao

Ivi kwa kweli hapa hamuna baraka za wakuu apa serikalini?

Basi wapewe wao jukumu la kua Polisi Kama imefika mpaka wanapiga Askari

1 comment:

  1. Paul Muite amejitokeza na tumemujua asante M Rajab Ndothya

    ReplyDelete