Thursday, 26 April 2012

LORD Hates a proud look

Let do what GOD tells us to do and stop fooling each my fellow Kenyans truth will liberate us from

Worthless,wicked people who are regrouping and go around Kenya telling lies to poor Kenyans,whom don't understand the root cause of their problem is them.

Mimi ile shida niko nayo ndio inanifanya ni ongee ninachokijua mimi na nitawa anika kwa majina yenu nyote Jana Paul Muite amenitukana lakini mimi nitazidi kusema ukweli najua yeye serikali niyao lakini mimi nitasimama na NGUVU YA MUNGU NA WANYONGE.

Ivi mtu kua na kiburi kitamusaidia aishi bila kufika mbele ya MUNGU

Paul Muite na wenzako hakuna atakae ishi milele ndio wewe unajua kupindisha sheria lakini kwa MUNGU HAKUNA HONGO WALA WAKILI

Mtetea Wauwaji piya yeye ni "MUUWAJI"Paul Muite

Kenya hakuna hajui kuwa "MUNGIKI"Nikikundi ambacho kime uwa wa Kenya chungu zima na sio 2007 bali ni toka na hapo mbeleni hata kabla ya uchaguzi.

Imefika mpaka wananijitamba kuwa serikali ni yao

Ivi kwa kweli hapa hamuna baraka za wakuu apa serikalini?

Basi wapewe wao jukumu la kua Polisi Kama imefika mpaka wanapiga Askari

Apa lazma tuwa wajibishe wahusika wakuu

Polisi kazi yake nikulinda usalama na mali apa Kenya.

Nijambo la kuhuzunisha kuona juzi wameshambuliwa na kupokonywa silaha zao na kitendo hichi kingetendwa na watu kutoka sehemu zengine tungeona na kusikiya atua mbali mbali ziki chukuliwa.

"MUNGIKI" Nani uyo anae wapa ujeuri wakupiga hata mapolisi kama baadhi ya vigogo serikalini.

Apa kuna mchezo mubaya unaendelea na tusipo chunga KENYA Mabadiliko tunayo tarajia hayata patikana.

Yatakiwa kuchambua mambo kiundani zaidi na sio ki juu juu.

Wakenya msiadaiwe ni baadhi ya watu vurugu apa KENYA Zinaletwa ni matajiri wezi na wameungana vilivyo kuakikisha mabadiliko  hayawi ya ukweli.
 Tukatae na tuilimishe jamii ijue nani ndio nani na kila siku wabaya wetu wazidi kubainika

Saturday, 14 April 2012

Mtu kuondoka sehemu ni BARAKA

   Uchaguzi uki karibia mtaona vituko vya kila namna lakini nawa sii wakenya msipoteze muelekeo au msirubuniwe(danganywe)

   Wakutufaa twamujua kutokana na historia yake na shida alizo pitia kwa sababu ya wakenya wote,
Tukae tujue kuwa kuna mkusanyiko wa

1; Wezi

2;Waporaji

3;Wanyakuzi

4;Wafisadi

5;Wauwaji

            Na hawa wote wamekusanyika kuzuiya mabadiko Kenya

Pesa wanazo nyingi sana na wako teyari kuzuiya mabadiliko tukae tujue kuwa wa KENYA Zinaitajika nguvu za pamoja ili kujikomboa

 Hawa watu wana kila kitu vyombo vya habari ni zao na ndio wameshikilia Kenya tangu 1964 mpaka waleo

 Tushika mane sote ili tuelimishe wapiga kura wajue kura yao yaeza leta mabadiliko hapa kenya

     Tusimamie ukweli na sio porojo