Friday, 23 March 2012

Njaa bado nitishio

Njaa  ni tatizo kubwa kwa mamilioni ya wana nchi apa kwetu Kenya.Kikubwa zaidi ni kua serikali ndio tatizo apa kwetu kutochukua shida ya njaa kama kitu chakupewa kipao mbele nia ndio hamuna.
Tuungane kwa kuwa wakweli na tuchangie vipi kutatua tatizo hili

No comments:

Post a Comment