Wakenya ni vizuri sana kukaa na kujuana tulivyo kwa tabia zetu na hali zetu apa Kenya.
Sikatai kuwa sote uwa tofauti kwa mawazo na fikira na kibaya zaidi nikuona mtu anapata mshahara na huku anapewa pesa kupiga makelele bugeni.
Niaibu na fedheha kua mtu kuzua mambo kitu ikiwa huna hakika nacho wachana nacho na ikiwa una uhakika nacho ongea,Sio una tumiwa kufunika mahovu.
Hii ni KENYA MUPYA

No comments:
Post a Comment