Wakenya si watoto wakutojua mtu na vituko vyake nani wazi bila ya mapendeleo kua wengi waviongozi apa Kenya ni mshahara tu ndio ujali na maslai binafsi sio uzalendo.
Kwanza nikushukuru sana kwakazi nzuri ulio ifanya katika wizara ya utalii umejaribu kuinua sekta hio vilivyo.
Pili nikulaumu kwa matamushi yako ya leo kua eti waislamu tunaonewa haya matamushi hayana musingi nayamefanya nikutoe alama 25% Kenya aingilii uhuru wakuabudu,nanivitu viwili tofauti serikali na dini.
Tatu kusema eti chama ulichokuwa hakina demokrasia nikitu chaku chekesha vyama vyote uwa na katiba zao zakufuata natumeshuhudia mara nyingi ukizivunja.Ivi leo mimi ni vunje sheria ya popote pale nikichukuliwa hatuwa nitakua nimevunjiwa haki yangu?
Kenya imefika wakati wakuambiana ukweli mutupu ukikosa una ambiwa hakuna alio juu ya sheria.
Na huu wako ni unafiki kwakua ukiwa katika chama fuata sheria za chama au jiuzulu na uingie na tikiti ya chama kingine kwa hili nime kutoa alama 20%
Usitake nikushambulie kaa kimya na ugoje uchaguzi apo waeza enda na kuomba kura bado usimamizi wako nimuzuri mvita.

No comments:
Post a Comment