Ina itajika jitihada zetu sote kwa pamoja na imefika wakati yakutonyamazilia maovu yanayo endeshwa ni jamii moja bila aibu wala haya.
Kenya kwote kuna watu ambao wanatakiwa kusaidiwa sio swala la kusaidia watu wakutoka mkoa wakati tu hali hii niya kukemewa kwa nguvu zote.
Ivi wenzetu hawa wanatuona tukiwa mazuzu au sanamu?
Micro finance nikwakila mkenya sio ukiwa we una asili ya kutoka mkoa wakati unasaidiwa au uwe rafiki yao ndio usaidiwe kwamikopo iyo ndogo ndogo.
Tusidanganyane wakenya hakuna jamii bora kuliko nyengine.
Jua kua popote ulipo utaulizwa ni MUNGU Ukifa ulifanya nini ulipo ona uovu ukitendeka,Nausifikiri kua utaishi milele sote tutakufa.
Watu wangapi unawajua ambao leo wamelala makaburini?
Wewe kuona kuwa ausiki kwakuwa unacho au una pesa jua yakuwa utaulizwa.
Mtu ambae hato ulizwa ni yule alio fariki akiwa aja bale yaani kuvunja ungo kwa jinsia ya kike (month period)hedhi
Mwengine ambae hato ulizwa ni kipofu,kiziwi bubu,ukiwa na hali hii Mungu hato kuuliza chochote lakini tulio baki tuta ulizwa ulipo ona ufisadi wizi au dhulmaikitendeka mbona ukuchukua hatua?
Na mbinguni hakuna rushwa wala wakili na nafsi italipwa kulingana na vitendo vyake.
14,000,000 ambazo Mutotho anaziongelea kua watu wake wapewe ni serikali naiwe kwa wakenya wote kwote Kenya nasio jamii moja yaani tangu 1964 mupaka leo hawashibi?