Saturday, 17 March 2012

Vyombo vya Habari apa Kenya

Vyombo vya habari nikiwa na maana ya
Radio
TV,Runinga
Magazeti
Aslimia 98% nivya mafisadi na wanyakuzi ambapo wana pinga mabadiliko yanayo taka kuja kwa hali na mali,
Siwezi nikataja zote lakini nitatoa mfano
Wa kimoja Runinga ya K24 na Gazeti lake la "The People" mbali na Radio kwakua ni yakiluga "Kameme"
Elimisheni jamii ielewe kua hawa watu hawataki mabadiliko apa KENYA,
Na ndio maana wana shambulia kimpango kaa chini mkenya na utafakari(ufikirie) 

Mutahi Ngunyi

Uyu ni mmoja ya watu wanae tumiwa kueneza chuki dhidi ya wakombozi wetu ambao wanataka kututoa kwa shida ilio wekwa na Raisi wa kwanza apa Kenya Jomo Kenyatta.

Wakenya kama Wakenya atuna shida lakini kuna hawa wenzetu ambao uongea vizuri sana ukiwasikiliza lakini uwa namipango yao wenyewe ambao wamejipangia ivyo sio watu wakuaminika ata sekunde moja.

 Niwito wangu mkae na mutafakari haya ninayo waeleza na muamue ki haki bila ya upendeleo kwaku muogopa MUNGU

Sunday, 11 March 2012

Wakulaumiwa kwa Bom lajani ni

Anae paswa kulaumiwa katika maafa ya jana katika kituo cha Mabasi yakwenda mikowani ni

1;Mimi
2;Wewe
3;Na Alie fanya icho kitendo
           Kwanini nasema ivyo,Kwa kuwa sote wakenya tunajukumu yakulindana.Nasote ni Polisi

Sina maana yakuwa twaweza jilinda au twajuwa kutumia silaha ama tuna sare za polisi,la asha nina maana yakuwa jambo upimwa na linapo tokea.
       
            Tukio lajana kwasehemu kubwa ni Raiya ndio walaumiwe twafaa kua wasaidizi wa serikali kwakutoa habari haraka ukiona chochote kile ambacho chaeza tishia usalama wamwezako bila yakuchelewa ukitilia watu fulani shaka toa habari kwa polisi.

            Siku izi kati ya wato mia kumi wana simu,iyo gari inayo semekana ilio kua nahao wauwaji mgepiga simu polisi apo kwa hapo au gari lenyewe lige zuiwa(block)na gari legine lolote hao watu wangekua mbaroni nawangesaidia serikali kutegua njama zao ambazo ziko jikoni.

            Serikali kama serikali haiwezi kulinda kila mtu nisisi popote tulipo tukawa macho nakutoa habari yeyote ile kwaserikali.

            Shukrani zangu kwa wote walio saidia majeruhi kwa hajali ya jana nyote nawapongeza kuweni na moyo huo huo.
          
          Wakenya tuweni macho na mutoe habari yeyote munao iyona sisawa kwa vyombo vya dola iliwachukue hatua,

Sunday, 4 March 2012

UTAWALA BORO

Wataalam wawasaidie serikali kuchunguza nani alaumiwe kwa kazi yake

Friday, 2 March 2012

Shida tunazo pewa ni kundi ndogo ni dogo tukimukumbuka Mola (click usome)

Psalms34;15.......Mungu usikiza vilio(za wanyonge kama maovu yanayo tendwa ni mkuu wa benki apa Kenya Bwana Njunguna Ndung'u)Yafaa wakenya sote tuombe natutajibiwa hawa wezi hatuwawezi wanazo pesa za kumwaga kila mahali ivyo kilicho baki ni kumuomba mungu tu,

Shida ya mwenzio niyako.

Suratul Al- Baqarah aya 152 ya sema "Basinikumbukeni nitakukumbukeni; na nishukuruni wala msinikufuru"

Faz-kuruuniii 'az-kurkum washkuruu lii wa laa takfuruun.
Usifikiri kua leo hauna shida ukaona basi watu wangaishwe KENYA wanavyo angaishwa jua kuwa kila mtu ataulizwa je Mlimuona Kibaki kalemea upande mmoja mbona mukakimya,

USISEME HAYAKUHUSU SHIDA ZA BINADAMU MWENZIO NIZAKO NAZETU SOTE

Dalili za kuangalia kabla uja funga pingu za maisha/kama utakua na maoni tofauti komenti apo chini ni kujadiliana kwafaida ya wengi swala la NYERI Limeibua mengi

1; Mtu akiwa muongo dalili mbaya
2;Mtu akiwa msiri dalili mbaya
3;Mwenzako akiwa hataki kukutambulisha kwa ndugu zake wazazi wake na hata marafiki zake iyo ni dalili mbaya.
4;Ikiwa hataki uguse simu yake dalili mbaya
5;Hakiwa na tabia ya kufuta sms's
6;Mtu akiwa ataki muonekane nae  hataki mutoke nae basi apo pabaya
7;Akiwa aongei mstakabal(maisha yenu ya baadae apa sipema
8;Yako mengine mengi lakini wacha nawe uchagie nisije nikamaliza yote

Ukiwa na shida yoyote jipe moyo(ndio kitu nilicho eleza ndani apa click usome undani)

       Binadamu twataka tujipe moyo tunapo kumbwa na matatizo ya aina yeyote ile natumtegemee Mungu kama walivyo mtegemea Mungu watu wengi  kwakuwataja kimajina sitoweza kumaliza orodha nindefu ila nitolee mfano mja wa MUNGU ambae ametajwa katikabu vitakatifu zote viwili nikimaanisha biblia na kurani
     
       Uyu si mwengine ni Job ambapo maelezo yake yako kwa Job 1;1 mpaka 22/Job 2;1 mpaka 13 kwa ufupi soma JOB1,2,3,4,5,6,7,8,9 ZIKO MPAKA 42 kisa na mkasa wake ili ujue undani zaidi kwakua sivyema kuamini wanao jiita Masheikh na Maskofu kama mtu awezi kutaja wapi kitu kimeandikwa uyo usimsikize kabisa.
       Dunia siku izi imejawa na  uwizi na unyama wa hali yajuu na wengi si wote wanatumia jina La Mungu kuwalagai binadamu nzao.
        
       Palikua na mtu ajulikanao kwa Jina la JOB Ali ishi kwa mji wa UZ Ambae alikukua mcha MUNGU wakweli na alimtii kwa amri zake zote na halijiadhari asifanye chochote kibaya cha kumuudhi MUNGU.
       Alikua na mali chungu zima.

Mungu akamuuliza Shetani ulikua wapi na Mungu anayo habari yatunachofanya fikiria na kilichoko moyoni mwetu lakini alimuuliza tu ulishinda wapi leo shetani?

       Ibilisi akamjibu nimekua nikitembea huku na kule Duniani
Mola akamuliza je umemuona mjawangu Job?Akuna katika Dunia kama Job kwakunitii na kunia
abudu kama Job.
           Na uchunga asifanye madhambi.
Shetani akajibu je Job angekutii na kukuabudu kama hungemupa mali na kumlinda?
          Umekua ukimubariki Job kwa chochote akifanyacho,Hangekutii na kukuabudu kama ungechukua mali ulio mupa.
         Aya chochote alicho nacho kikokwa himaya yako lakini usimudhuru.
Shetani aka angamiza mali yote ya JOB
        Lakini Job akasema nilizaliwa nikiwa sina kitu na nitakufa bila kitu"I was born with nothing and I will die with nothing........"(job1;21)
           Kutokana na yote Job hakumutakana MUNGU.
IVyo Maringo na Wizi na ubaya pamoja na ukabila hauta kusaidia kwa chochote kile mali unayo umeikuta apa Duniani na utaicha  hapa Duniani sivyema kuirigia.
         Wala usiuzunike kupoteza Mali,Watoto na vitu vyengine huenda ikawa ni vituko tu vya shetani ambae ni adui alie wazi kwetu sote.
JIPE MOYO KWA YOTE UNAYO KUMBANA NAYO