Monday, 17 June 2013

USALAMA UKIZOROTA NANI ALAUMIWE ? KAMA SIO RAIS UHURU AFAA KUFUTA MKUU WA POLIS DAVID KIMAYO

     USALAMA NCHINI UKIWA MUBAYA NASI WAKULAUMIWA NI RAIS SIONI SABABU IPI YAENZA MUWEKA MTU KAZINI KAMA YEYE MWENYEWE HAWAJIBIKI UBAYA UANZA JUU

Fighting email spam/Kupigana na ukora wa email

  Viruses aren't the only annoying things delivered via email.If you're like most users,well over half the messages delivered to your email inbox are unsolicited,unouthorized and unwanted in other word spam.These spam messages are the online equivalent of the junk mail you receiver your postal mailbox and It's a huge problem
   Though it's impossible to do away with 100% of the spam you receive,there steps you can take to reduce the amount of spam you have to deal with.
  Protecting your email address check in internet all the step
Stop exposing your email,its a simple fact

Wednesday, 12 June 2013

Wabaya wako niwale wasio wajibika

   Mtu akiwa awajibiki popote pale basi mchukue kua adui yako,wazuri wako ni wale ukiwapa kazi wanaifanya bila malalamiko David Kimayo afai.

Rais muwajibishe au tukuwajibishe wewe

Anae kuchekea usoni usidhani rafiki

   Wote wanaokuchekea Rais usidhani wanakupenda anae kupenda niyule ukimupa cheo anakifanya vizuri sio hawa unawapa vyeo na wanaku angusha.

Rais ya paswa uwe na imani na uwajibishe David Kimayo Afai kuwa polis

  Rais tukuelewe vipi au mpaka wezi watuibie sote ndio umuwajibishe Mkuu wa polisi wahuni wamepata wapi jeuri ya kuibia simu wakenya na pesa.

Wenye hila siku zote hawabebeki,USALAMA NCHINI HAUPO.

    Wenye hila siku zote uwa na yao wamejifichia wakenya hali ya usalama umezorota kupita maelenzo,Watu wananyang'nywa mchana peupe apa Kenya.

    Je hii ni sawa? Haiwezekani watu kuibiwa mchana peupe hii ni njama ya serikali,Simu zinaenda mtu anapokonywa mchana Nairobi.

  Wakenya jueni kua kuna kitu kinaendelea,Na ukimya wetu utatumalinza

Tuesday, 11 June 2013

Niwapongeza wana harakati wakenya

 Nawapongeza wanaharakati wa Kenya kwa kazi yao,lakini mujue hawa wabunge wanaweza tuma watu ili kuvuruga harakati zenu.

  Niwambie tu Akuna kitu kizuri uja rahisi lazima kupitia ugumu fulani

MTU AKIMWAGA MBOGA WE MWAGA UGALI

WABUNGE NI MAFISI NA DAWA YA MOTO NI MOTO,AU UKIWA NA MUTU AKIMWAGA MGOGA WEWE MWAGA UGALI NA UKANYAGE KANYAGE KWA MCHANGA ASIJE AKALA,KWAKUA WAO NI NGURUE

UCHAGUZI NI GARAMA RAIS AFUTE WOTE NA WAWEKWE WENGINE

 HAWA WABUNGE WAFUTWE WOTE NA KILA CHAMA KILETE MTU WAKE BUNGENI KUSIFANYWE UCHAGUZI.

 HAWA WABUNGE TULIO WATUMA KUFANYA HAWAKUFANYA KAZUI NI KUJILIMBIKIZIA PESA

Niwito wangu hawa wabunge wafutwe kazi na namba 2 wachukue usikani

Hawa wabunge wote wafutwe,na hakuna kwenda uchaguzi nambari mbili kwa kila chama kama ni TNA,AMANI CORD AU CHAMA CHOCHOTE WALIOCHUKUA KWA KURA ZA MCHUNJO KWA KILA CHAMA WAWE WABUNGE.

   KILA CHAMA KIWEKE NAMBA 2 WAKE MFANO IWAPO TNA ILIKUA NA NAMBA 2 WAWE WABUNGE KWAZIA KESHO

MP's Salaries,Wao wajulikane kwa hilo Jina la NGURUE AU FISI ATA WAKITOKA BUNGE

Niwito wangu kuwajua kwa jina la Ngurue au Fisi milele hawa wa BUNGE ,Hii ni kuonyesha  kua hawa si watu ni wanyama.

 Wao huenda Duka tunanzo enda sisi,Wako kenya hii tulioko hawako kwa dunia nyingine

Thursday, 6 June 2013

Kabla ujafa akikisha umetenda mema apa duniani

Sote tutakufa akuna atakae ishi milele ukikuyu wako utakusaidia siku ya hesabu,Kila mtu atavuna alichopanda ikiwa ulipanda madharau utavuna madharau uko juu mbiguni.

Kama ulipanda fitina utavuna fitina

Iwapo ulipanda kudhulumu utavuna dhuluma

Kama ulipanda daraja "class" utavuna daraja lako wewe na unaoringa nao nyote

JUU KWA MUNGU AKUNA RUSHWA WALA MAPENDELEO HIVYO KABLA UJAFANYA LOLOTE JIULIZE MARA KUMI KUMI JE HILI NINALO LIFANYA KWA MUNGU NI SAWA

TENDO LA KUMUDHARAU BINADAMU MWEZAKO SITENDO JEMA,KATAA KUBALI

Ukiwa ujafanyia utafiti jambo usiliongelee

 Mtu akiwa ajalifanyia utafiti janbo  asiliongelee kabisa huku tunako elekea nikubaya wakenya imefikia wakati tuelezane ukweli kama kweli twataka kujikwamua na komeo za kuturudisha miaka 1000 nyuma

Mjue mkikuyu sio chuki lakini ndivyo alivyo ni ndugu zetu lakini mambo yao yanaumiza sana

  Nivizuri kujuana sisi tusiwachukie vile wanavyo tuchukia lakini ni vyema tuwajue Njama zao ni mbaya,Mini mewasoma ile mbaya

Madharau akienda kisumu na Madharau alipokua akitoka kisumu

   Raila Odinga akuna asiemujua na serikali hii imevuka mipaka kwanza wamekua wakipora ushindi wa Raila,pili kumudharau nijambo la aibu na fedhea kwa serikali hii.

    Uhuru Kenyatta jambo hili la Raila kudharauliwa litakuweka pabaya ,Ukweli ni ulio wapa cheo waweza kukuangusha au kukujenga.

     Wao twawajua uwa na kichini chini sana lakini jambo likifanywa ni famili au shirika fulani sisi atutazami alio tufanyia.Tuna laumu kiongozi ,Baba au muhusika mkuu wa tasisi hio

Uhuru Kenyatta tunakulaumu kwa  100% Raila kuonyeshwa madharau

1.Akienda kisumu

2 Akirudi

Imemubidi Raila Odinga kwenda kukodisha Hoteli kugoja ndege ambao alikua aunganishe kwenda Afrika kusini.

Aiwezekani kua Rais hana habari,Ata usipo muheshimu sisi tutazidi kumuheshimu

Raila Odinga,Kudharauliwa tusikubali

   Wakenya baada ya kuvumilia yote aliofanyiwa Raila bado madharau yanaendeshwa na haya yote anafanyiwa kwa mupango ulio pangika ili kutafuta wapi watamumalizia.

    Wakenya Raila Odinga amefanyia nchi hii mambo mengi makubwa tusikubali yeye kudharauliwa kiasi hiki
tuzidi kumupenda na kumuenzi RAO