Wenzetu hawa uwa niwazuri sana kwakuongea mbele ya watu lakini ni wale wale,Sikiza "Seech" ya Babake na Uhuru Jomo Kenyatta,Kibaki na hii ilio tolewa leo ni Uhuru Kenyatta.
Sisi tunacho hofia ni rasilimali zetu apa Kenya kama Jomo alinyakua aliweza ku chukua Urais na kunyakua Ardhi alivyo fanya.Je mafuta,Makaa ya mawe dhahabu,chuma na Gesi je siwatu wa inje watajichukulia bure? Hii nikwakua kama tujuavyo mikataba mibovu,Ambayo itaumiza Nchi kama nchi.
TUSHA SHUHUDIA AFRIKA AKUNA AMBAE HAWEZI KUONGWA KAMA WAMEFANIKIWA KUMUONGA Dr Willy Mutunga

No comments:
Post a Comment