Tuesday, 9 April 2013

Wakikuyu uwa na kipawa cha kuongea vizuri sana,Lakini ukweli ni wale wale

Wenzetu hawa uwa niwazuri sana kwakuongea mbele ya watu lakini ni wale wale,Sikiza "Seech" ya Babake na Uhuru Jomo Kenyatta,Kibaki na hii ilio tolewa leo ni Uhuru Kenyatta.

    Sisi tunacho hofia ni rasilimali zetu apa Kenya kama Jomo alinyakua aliweza ku chukua Urais na kunyakua Ardhi alivyo fanya.Je mafuta,Makaa ya mawe dhahabu,chuma na Gesi je  siwatu wa inje watajichukulia bure? Hii nikwakua kama tujuavyo mikataba mibovu,Ambayo itaumiza Nchi kama nchi.

      TUSHA SHUHUDIA AFRIKA AKUNA AMBAE HAWEZI KUONGWA KAMA WAMEFANIKIWA KUMUONGA Dr Willy Mutunga

Kenya ni Kilio kila kona

    Kila Kona ya KENYA NI KILIO CHA KUDHULUMIWA

Kama maombi si sehemu ya maisha yetu ni ukweli kabisa kuna hatari ya kuishi maisha ya unafiki

      Kama maombi si sehemu ya maisha yetu ni ukweli kabisa kuna hatari ya kuishi maisha ya unafiki.

Na hii ndio sababu kuu ya sisi binadamu kuanguka katika majaribu ya kupewa pesa na kukubali kumupokonya mshindi ushindi nakumupa asiestahili kupewa

Na walio anguka kwa uwo mtahani ni Issack Hassan na Willy Mutunga

Mtenda dhambi ndie anaonekana mwenye akili na mtenda haki ndie anaonekana mshamba

     Niwazi kua mtenda haki ndio uwonekana na wengi kua mshamba mtu asie kua na akili hali hii iko kwetu apa kenya,mtu kuingia kwa cheo kazi nikuiba nakuchukua na kupora

Raila ni Rais asie na kifani,nakuna mambo tutake tusitake lazima yaje kutimia kama hili la Raila Amollo kua Rais

   Wakenya kuna mambo hayazuiliki kama hili la Raila Amollo Odinga ni Rais teyari

WADILIFU NDIO WANAO MWANGIWA MATOPE

      Niwazi kua watu wadilifu ndio wanaopakwa matope

Kwanini Afrika ni masikini?

   Afrika ina Dhahabu,Almasi,Chuma,Makaa ya mawe,Mafuta na hii nikutokana na mikataba ya kisiri kila kitu kikiwekwa wazi Afrika yote haitakua masikini.

    Lakini kukiwekwa watu kama Amos Kimunya basi tutawekewa mikataba isio kuwa na maslai kwa Taifa na sikimunya peke yake nikila mwafrika aheshimu  RASILIMALI ZA TAIFA NA ASIPEWE 10% Kuuza Nchi

Katika Jammi watu waovu ndio wanaosifiwa

 Nikawaida kua watu waovu ndio uwa wanao sifiwa na sio wale wema apa Duniani kwakua uwa wamepewa nguvu ni shetani