Monday, 20 August 2012

Siajabu kua Raila nitishio la walio na dosari kwa walivyo pata mali yao,Ye uwa hana Rafiki na Kenya trataka mtu kama uyu ilikusafisha Kenya watu wawache kulindana na kubebana mna habari wengi wa viongozi wanao mupinga Raila sikwalingine ila ni kotokuwa na urafiki na mtu anapo tambulika kua anadosari?Wengi wakoteyari kutumia kila mbinu Raila asiwe Rais,Ndipo twajiuliza kuna nini apa?Iko kitu ambacho wengi wana ficha na hii nikweli,Kutokana na marehemu alipinga vikali Raila kuwa Rais.

Sijajua kwanini Michuki aliogopa Raila Amolo Odinga kuchukua urais ivyo,Je kuna yeyote anaejua sababu ya Marehemu John Michuki kuogopa kiasi cha kupata mshituko wa moyo?

No comments:

Post a Comment