Thursday, 2 August 2012

Amos Kimunya atatumaliza kabisa

Mzee wa 10% atatumaliza mara hii ye kila mahali akishika lazma apatate % zake.Mnakumbuka 14-seater ilienda vipi kama sio hongo aliopewa niwenye magari?Gari kubwa zingepunguza ajali zaidi lakini utapata Kimunya yake ilikuwa nikutingisha pesa zitoke,Kimunya Kibaki ndio anakubeba na sijui wakenya tutakukumbuka kwa yepi mazuri Michuki pamoja nakuwa naukikuyu lakini alijisafisha na sheria za michuki ivi uoni aibu kila sehemu ukipewa unavuruga(boronga)?vipi wewe kweli we ni binadamu au mfano wake.Unamuchafulia jina Kibaki amuka na uweke nidhamu barabarani piga marufuku 14 seater leo na sikesho,au una biashara zako?

No comments:

Post a Comment