Thursday, 2 May 2013

NGO's Afrika zina jinufaisha wao na ndugu zao wakaribu,Kwa ufupi ni feki

 NGO's zimekua zikijinufaisha kupitia migongo wa masikini picha na habari zinazo tolewa ni feki ambanzo upangwa ni wajanja wachache.

Serikali iko mbele kuandaa hawa NGO's feki kwakua wao ndio wageni uwasiliana nao kwanza kabla hawaja apa Kenya.

 Juzi nimeangalia kipindi kimoja jamaa mmoja uko pwani,eti alianza nawatoto wawili alafu akaongeza watoto nakua na shule

Wakenya mujue hapa kenya kuna ukora wakupindukia,Watu wanakua wajanja sana kufunika watu macho,Nakujinufaisha wao na washiriki wao wakaribu.

Musidanganywe kua mtu aweza anzisha NGO na kuanza kufaidika haraka hii nimipango ya wakuu wetu serikalini

No comments:

Post a Comment