Thursday, 2 May 2013

Hivi ni sawa mtu kushikwa nilivyo ona kwa siku ya wafanyakazi jana?Haifai na tunakorudi nikubaya uhuru wakujieleza unapotezwa polepole

Francis Atwoli ni mtu wa maslai tumekua tukiumizwa miaka na miaka kwa mishahara juzi alisema kua atatetea wabunge kupewa mishahara mikubwa,
 
Eti hali ya maisha ni magumu kwani wabunge wao ununua wapi unga,mboga na mahitaji muhimu? huu ni mchenzo na Kenya sote ni mafisadi hakuna mwe utu na huruma na mkenya masikini

NGO's Afrika zina jinufaisha wao na ndugu zao wakaribu,Kwa ufupi ni feki

 NGO's zimekua zikijinufaisha kupitia migongo wa masikini picha na habari zinazo tolewa ni feki ambanzo upangwa ni wajanja wachache.

Serikali iko mbele kuandaa hawa NGO's feki kwakua wao ndio wageni uwasiliana nao kwanza kabla hawaja apa Kenya.

 Juzi nimeangalia kipindi kimoja jamaa mmoja uko pwani,eti alianza nawatoto wawili alafu akaongeza watoto nakua na shule

Wakenya mujue hapa kenya kuna ukora wakupindukia,Watu wanakua wajanja sana kufunika watu macho,Nakujinufaisha wao na washiriki wao wakaribu.

Musidanganywe kua mtu aweza anzisha NGO na kuanza kufaidika haraka hii nimipango ya wakuu wetu serikalini

Mauwaji Busia,Thika,Kisumu na kona zote Kenya ni kilio

Tumerudi enzi za ukosefu wa usalama,Kama watu waweza ingiliwa na na majambazi kusema watakula chakula cha usiku apo kutoka asubui na ku baka "rape" familia zima hii ni Kenya?

Jambo muhimu kuhusu fikra nikwamba hazinyamazishwi kwa kutumia mabavu

Jambo muhimu kuhusu fikra ni kwamba hazizimwi kwa kutumia mabavu wala kufungwa na mamlaka

Watu huweza kufungwa lakini fikra ni huru daima

Rise and fall of any Nation rest on shouders of her citizens

Kuanguka kwa serikali na kufanikiwa kuko mikononi mwa Raiya wenyewe iko sikiu tutachoka na watu wakichoka hawasikii ligah yeyote

Mabilioni kwa mtu mmoja nijambo halikubaliki Kenya

Wakenya tuna kila kitu kinachotuwezesha kuishi bila matatizo makubwa yanayotukabili

Haiwezekani au hakuna namna yeyote mtu mmoja anaweza kuwa na mabilioni ya shilingi katika

Akaunti huku watu wakikosa maji au vifaa hosipitalini na shuleni

Watu wakipoteza matumaini huwezi kuwafanya lolote