Saturday, 25 February 2012

Tuwe watakatifu kama MUNGU alivyo

Jana tumejifunza kutokua na wivu kwakua wivu upelekea maovu kama tulivyo ona Yusufu(Joseph)Ndungu zake wa damu walivyo mfanyia na kama si Rubeni basi wange mtoa roho sababu kuu ikiwa ni wivu ivyo tusiwe na wivu kwani wivu si mzuri,Nafikiri tulikubaliana kwa hilo la wivu,
     Apa tuna elimishana tu nasio eti ninajua kuwaliko la asha toa fikira zako na mwengine ili sote tunufa- ike kwakua dunia siku izi tume weka pesa mbele kuliko utu na ubinadamu.
     Hio mada ya wivu tuta endelea kujadiliana kwa mapana zaidi na nivizuri tukawa wakweli ili tuelimishane na tujue kuwa Shetani hua hapendi mema ivyo utajisikia mzito kwa hii mada ila ushinde moyo wako ili shetani ambae uwa hataki sisi kupeana faida ya mbinguni aondoke patupu.
      Naongea kwa utafiti na kwa ushahidi ya kua ukiwa na wivu utafanikiwa apa duniani lakini uko juu mbunguni Mungu utamueleza nini?.
      Mungu ametuhumba kwa mfano wake na kwa mikono yake na akatupulizia roho takatifu ndipo shetani akaingiwa na wivu na kugaidi amri ya mungu na kuto mtukuza MUNGU ndipo akalaaniwa na kuaidiwa moto apo tarumbeta itapo lia nikiwa na maana tukiwa katika ufalme wa Mungu(Siku ya kiama).
      Katika dini zote kuu mbili shetani ni kiumbe cha motoni nina imani sote tunakubaliana na hilo na hili la Mola ni mtakatifu mnakumbuka Musa(Moses) alipo amrishwa kuwaeleza waisraeli wawe watakatifu kwakua Yeye ni MTAKATIFU?.Iyo ipo kwa Levicticus19;1,2"Be holy,because I, the LORD your God, am  holy"

No comments:

Post a Comment