Sunday, 26 February 2012

Nani shetani

Shetani ni kiumbe ambacho teyari hukumu yake isha wekwa kua yeye ni wamotoni tu apende asipende iyo ni kwa 100%
    Na ilikua vipi mpaka akwawa hukumu yake kua ni motoni.

Kwa waislamu imeandikwa Sura ya Bani Israil aya ya 61"Na tulipo waambia malaika msujudieni Adamu, wakamsujudia isipokua Ibilisi. Akasema:Je nimsujudie yule uliemuumba kwa udongo.

62;Akasema(ibilisi kumueleza MUNGU)Unaona uyu ulie mpa heshima zaidi kuliko mimi.Kama ukinipa muda mpaka siku siku ya kiama,bila shaka nitakiangamiza kizazi chake ila wachache tu.

63;Mungu akasema"Ondoka!Atakae kufuata miongoni mwao basi hakika Jahanamu ndio malipo yenu,malipo kamili.

64;Nawavute uwezao miongoni mwao kwa sauti yako, na uwakusanyie wapandao farasi na waendao kwa miguu.Nashirikiana nao katika mali(yao) na watoto(wao)na wahidi (ahadi za uwongo)Kwakuwa shetani hawapi ahadi ila wa udanganyifu(kwani hana lolote lake yote niya MOLA)

65;Hakika waja wangu huna mamlaka juu yao.Na Mola wako anatosha kua mlinzi(wao)

Sinyote mna mkumbuka kile kisa cha mwana mpotevu"The lost son"Ayo yalikua matendo yashetani(Luke15;11to34)
 Simunakumbuka alivyo mtia Yesu kristo kwa majaribio kama nilivyo eleza apa juu akimwambia mbindua mawe yawe mkate,jirushe utaokolewa,niabudu.
 Basi huyo ndie shetani ibilisi ambae amefanya wa apa kenya waibe mpaka wengine wana ibaka kwajina la MUNGU.
       Tangu lini sadaka ikiwekewa kiwango,eti panda mbegu ya 500ksh 1000ksh nakwenda juu na eti mtumishi wa MUNGU anatangaza kua toa pesa ndio uombewe ajabu hali ni mbaya zaidi apa kenya

Temptation

1;Order this stone to turn to bread.

Ans,
Human connot  live on bread alone.

2;All this wealth is yours if you worship me.

Ans,
Worship the LORD and serve Him.

3;Throw yourself down and God will take care of you

Ans,
Do not put God to test(luke4;1to13)

The temptation of Jesus

Luke 4;1-13
1;If you are God's son, order this stone to turn into bread

Answered;
     The scripture say's human cannot live on bread alone.

2;I will give you this wealth,if you worship me.

Answered;
    Worship the LORD your God and serve only him.

3;If you are God's son throw yourself down,God will take good care of you.

Answered;
    Do not put the LORD your God to test.
      Devil have wordly things but God have have all let obey

Minong'ono uchukiza MUNGU

     Sivyema mkiwa watatu wawili mkanong'onezeana au  mko watatu alafu wawili mnaongea luga ambyo mwezenu watatu haelewi sijambo jema hilo na MUNGU amelikemea kwa walio amini kua yuko muumba mbingu na ardhi.
     Ipo kwenye sura Al-Mujadilah aya ya 6,7,8,9,10

6;.........Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kila kitu(iwapo utamfanya mwezako kujiona mnyonge basi MUNGU anakutazama)Nanivizuri kabla ujamfanyia mwezako ubaya ukajiuliza je ingelikua mimi ndio yeye ningejisikia vipi?Linalo muumiza mwenzako usimfanyie.
         Nauenda mko 3 na mkawa mnaongea yenyu yasio muhusu uyo mlie nae apo na wala hamumsengenyi lakini  mara nyingi mambo yasiri uwa naubaya fulani umejificha ndani na usiri usiri ua na ubaya ubaya ndio maana mabaya mengi ufanywa kwa giza nasio mchana.

7;............Haupatikani mnong'ono wa watu watatu ila yeye huwa ni wa nne wao, wala watano ila Yeye huwa ni wa sita wao, wala wachache kuliko hao wala zaidi ila Yeye huwa nao popote walipo;kisha siku ya kiama atawaambia walioyoyatenda.Hakika Mwenyezi Mungu ni mjuzi wa kila kitu.

8;...........wabaya ujua hawako kwamabaya kwakua yao yanawaendea wanakula,kuvaa,kulala na maisha yao ni mazuri lakini jahanamu itawatosha hii dunia ni pepo ya wabaya,
           Wenzangu usijisikie mnyonge kwakua mgojwa,masikini hoe hae wala shida zinazo kukabili jua kua mingi uwa mitihani au majaribio.
          Yesu kristo(Issa)alijaribia ni shetani kwa mambo mengi sana alipo kua jangwani kwa siku 40 ambapo hakula chochote izo siku 40 ivyo ali ona njaa baada ya izo siku.
         Shetani akwamwambia kama wewe ni mwana wa Mungu amuru haya mawe kua mkate.
Yesu(Issa)akajibu,Mahandiko unena mtu hawezi kuishi kwa mkate peke yake.
        Kwa sekunde Shetani alimchukua na kumuonyesha mali na utajiri na kumuhaidi kua iwapo atamuabudu atamupa yote ayo
      Yesu akamujibu,andiko uneno muabudu MUNGU wako peke yake na mtumikie yeye tu.
Apo shetani katika mji wa Jerusalem akampandisha kwa mnara mkubwa na kumuambia jitupe na kwakua mandiko usema MUNGU atatuma malaika wakuokoe ata kabla ujagusa sakafu.
Yesu(Issa)akajibu mandiko usema usi mtie majaribuni MUNGU wako apo Shetani akashindwa.
       Kwanini ni mesimulia kisa ichi nikua wengi wetu ufikiri kua uzuri haulipwi lakini ulipwa na nivyema kulipwa uko juu mbinguni kuliko apa DUNIANI.
       Usijisikie vibaya kufanya yale MUNGU amehamrisha na usitarajie kua eti umefanya mazuri utabarikiwa apa apa duniani la hasha huenda ikawa malipo yako yako mbinguni               

Saturday, 25 February 2012

Tuwe watakatifu kama MUNGU alivyo

Jana tumejifunza kutokua na wivu kwakua wivu upelekea maovu kama tulivyo ona Yusufu(Joseph)Ndungu zake wa damu walivyo mfanyia na kama si Rubeni basi wange mtoa roho sababu kuu ikiwa ni wivu ivyo tusiwe na wivu kwani wivu si mzuri,Nafikiri tulikubaliana kwa hilo la wivu,
     Apa tuna elimishana tu nasio eti ninajua kuwaliko la asha toa fikira zako na mwengine ili sote tunufa- ike kwakua dunia siku izi tume weka pesa mbele kuliko utu na ubinadamu.
     Hio mada ya wivu tuta endelea kujadiliana kwa mapana zaidi na nivizuri tukawa wakweli ili tuelimishane na tujue kuwa Shetani hua hapendi mema ivyo utajisikia mzito kwa hii mada ila ushinde moyo wako ili shetani ambae uwa hataki sisi kupeana faida ya mbinguni aondoke patupu.
      Naongea kwa utafiti na kwa ushahidi ya kua ukiwa na wivu utafanikiwa apa duniani lakini uko juu mbunguni Mungu utamueleza nini?.
      Mungu ametuhumba kwa mfano wake na kwa mikono yake na akatupulizia roho takatifu ndipo shetani akaingiwa na wivu na kugaidi amri ya mungu na kuto mtukuza MUNGU ndipo akalaaniwa na kuaidiwa moto apo tarumbeta itapo lia nikiwa na maana tukiwa katika ufalme wa Mungu(Siku ya kiama).
      Katika dini zote kuu mbili shetani ni kiumbe cha motoni nina imani sote tunakubaliana na hilo na hili la Mola ni mtakatifu mnakumbuka Musa(Moses) alipo amrishwa kuwaeleza waisraeli wawe watakatifu kwakua Yeye ni MTAKATIFU?.Iyo ipo kwa Levicticus19;1,2"Be holy,because I, the LORD your God, am  holy"

Friday, 24 February 2012

Wivu ni kitu kibaya

Wakenya wezangu wivu nikitu kibaya kua nacho na upelekea watu kufanya mabaya ili waeze kubadilisha neema uliopewa ni mungu na wivu auja aza sasa uliaza  makarne mengi yaliopita na chakushangaza wivu mara nyingi uwa kwa wale wanao kujua na mifano iko mingi niki anza kuitaja apa sitoimalizila.
  Lakini kwakua apa ni paukweli lazma nitoe mfano ata kama ni mmoja.
Na nyote mwakumbuka hadithi ambayo iko kwa vitabu vyote viwili vya MUNGU ile hadithi ya nabii Yusufu.
  Yusufu sote twajua masaibu yalio mpelekea mpaka akauzwa misri kwa wanae bisha wa chungulie katika(Genesis37;12 mpaka 36)
  Ndugu zake Yusufu(Joseph)Walimchukia kwakua Baba yao alimpenda sana kuwaliko(Genesis37;3,4)kwakua yeye Yusufu alizaliwa ni Jakobo(Jacob)katika umri wa uzee.
     Ata waleo Babu na Nyanya upenda wajukuu wao zaidi kuliko ata wanao wakuwazaa.

Wao walinuia kumu uwa kwa wivu huo wakua kipenzi cha Baba yao Jakobo,Wakamuona Yusufu akiwa ana wajia kwa mbali waka nong'onezeana apa anakuja muotaji tumu uwe natumtupe katika kisima kilicho kauka alafu tutamueleza Baba kua kauliwa na mnyama mwitu ndio tuone ndote zake kama zitakua za kweli(Genesis37;18,19)
    Kisa chenyewe nikirefu lakini nia na mathumuni ya kutaja ichi kisa ni kuwakumbusha kua wivu upo ata waleo na yafaa tuchukue tahathari kwa wale tunao waita rafiki zetu au wanao tuzunguka tukiwa madarakani nitaendeleza kisa hiki....................baadae

Tukatae

Wakenya lazma tujifunze kua wazalendo nakuipenda inchi yetu vilivyo.Sivizuri kuwachia wajanja wachache wazidi kunufaika kama wanavyo jinufaisha tangu 1964 mpaka waleo Yaani tunashindwa nikujitoa kwa mikono ya mfu bado anatumiliki sisi ata baada yakufa kwake?