Thursday, 28 February 2013

Other place to read

Am not good in english but for you have asked where to read same check facebook by name Exposing kenya evil

follow twitter

2;check facebook of Name; M Rajab Ndothya and his Twitter same name,i will see other bye

do excuse my poor english

Malengo

Lazma tujiwekee malengo makubwa na kuakikisha yale muhimu yana timizwa kenya tunasifika kwa

kujali maslai binafsi

Umasikini tukatae

Akuna binadamu bora kuliko mwengine ifike mahali tuchukulie watoto wote kua sawa,Sijambo jema

kuwacha watoto kulala njaa kuamuka njaa na kushindia maji.

hali hii tukatae kwakuweka Rais binadamu na sio katili ambae angalii masikini.

kuna vitu muhimu kwa binadamu

1;Afya
2;Chakula
3;Malazi

Akuna mtu Kenya,Alale njaa

Kila mkenya lazima tuseme tumechoka na umasikini

Lazima tufike mahali sote kwa pamoja tuseme jamani mkenya  au binadamu yeyote kulala akipiga

miayo ajala apana

Kupanga ni kuchagua

Kuna mambo ambayo Kenya lazima yapawe kipao mbele ili kuleta ufanisi miezi 3 ijayo papo kwa papo

wakenya tumechoshwa nishida

Kuna mambo mengine ayataki pesa kuyatekeleza mfano

watu kupandishiwa nauli ovyo ovyo kuna mtu ametupwa kutoka kwa matatu kwa kukosa shiling 20ksh na

akafa juzi tu na akuna yeyote alio chukulia atua na sio Kibaki ajui anajua lakini mtu akivunja sheria kwa asie kua rafiki au mtu wakaribu wake ajali

Hii ndio inaleta watu kuuwana ovyo

atawewe ukifanyiwa makosa nakuona sheria aijachukulia lazma uchukue sheria mkononi

TANA DELTA NA KWENGINE KWOTE NI SHERIA KUTOFUATWA VILIVYO NDIO WATU WANAUWANA OVYO INGEKUA OTHAYA NDIO TANA BASI HII YOTE ANGETOKEYA ILA

KWAKUA WATU WA TANA SIWATU NDIO MAANA WAMEWACHWA IVYO

Tatizo lieleweke

Tatizo lieleweke Kenya mumesikia kua

Thuita Mwangi PS

"FOREIGN AFFAIRS PS ARRESTED OVER JAPAN EMBASSY SCANDAL"

MUNGU ANAWAPENDA SANA WAKENYA APA MUNAONYESHWA KUA UHURU KENYATTA NDIO ANAE ONGOZA HII SERIKALI SIO MWAI KIBAKI WALA RAILA AMOLLO

UBAYA AMUTAKI KUONA MDAHALO ULIKUA 25 FEB 2013 RAILA AKATAJA KUA MGOMBEA MWENZA "RANING MATE" WA UHURU ANA KESI YA SHAMBA APO UHURU LEO 27 FEB 2013 AMETOA AMRI KESI IFUFULIWE APA ANAE TAKIKANA NI

MOSES WETANGULA

Sisi ndio tutaleta MAENDELEO KENYA

Usifikiri kua kuna mtu mwengine ataleta maendeleo Kenya ni sisi wenyewe ndio tutaleta maendelea kwa

1;Kua wazi
2;Wajibishanaji popote pale ukiona mtu anakosa unamambia apo kwa hapo bila ya kutazama na kusea siusiki.
3;Kuwacha kusema uwongo sema ukweli na ukweli hauwezi kua matamushi ya chuki "hate speech"au ukweli hauwezi ata siku moja ukavunja amani "peace"
mnasikia watu wakisema "peace kenya"mwajua nini maana ya kusema "peace"hii ni kutaka kuficha ubaya ili wazidi kupotosha ili wachaguliwe tena ukiwa unajua kitu sema usiogope,kimya kyetu kimetu sababishia miaka 50 tumebaki kua atusongi mbele ila usiseme uwongo sema ukweli atakama uchungu

4;Tuhubiri ukweli

5;Tuzingatie mila na tamaduni zetu ambapo mtoto alikuwa wajamii zima na ukimuona akifanya lolote baya mkanye au mumwambie mzazi wake na wazazi wengine kwakua ulea watoto wao kama mayai muwasute musiwawache wawaharibie madili watoto wengine

jitengezeeni kwa mitaa yenu umoja wakuwakanya na kuwasema watoto wabaya ili warudi kwa madili yetu yakiafrika

akuna mzazi apenda mtoto wake ajekua jambazi sugu au aje kupigwa risasi,jamii iungane nakusaidiana ata kwa malezi,ukiona mtoto wa mwezio hana nguo mpe za mtoto wako au mwambie mtoto wako amupe

Taifa hili litajengwa na sisi wakenya

Kenya ni sisi tutajenga tukiwacha ubinafsi na ukabila sivibaya mtu kuweka sehemu ata ndugu yake lakini awe yeye ndio alie juu kwa sifa zinazo itajika zote.
1Awe muadilifu
2Muaminifu
3Mtenda haki
4Mkweli
5Asie na tamaa
6Muwazi
7Mumini(nakua mumini waeza kua ata kanisani au msikitini huwendi lakini vitendo vyako vyasema kweli wewe ni mumini)Sio mtu kila siku uko kanisani au msikitini na
WALA RUSHWA,MWIZI,MNYANG'ANYI MPINDISHA UKWELI WEWE UTUFAI KABISA

Pimwa UTENDAJI

Wakenya yatupasa tuwe makini sana na kwangazi zote tumuweke mutu kwakumupima utendaji wake

wakazi na sio awe anatafuta mshahara mkubwa,

Tuchague mtu amae yuko teyari kufanya iyo kazi ata kwabure na nieleweke apa sio bure kabisa

apa na manisha apewe huduma muhimu kama
1;Chakula
2;Mavazi
3;Nyumba
4;Afya
5;Elimu kwa familia yake
6;Usafiri
7;Mavazi
Yaani tuchague mtu ambae akiambiwa atahudumiwa hizi vitu vyote bila ya kupewa shilingi 1ksh awe teyari kutumikia Kenya sio mtu anakimbilia mshahara tu na kutojali wananchi,
Kenya kuna watu wengi wadilifu na wana uchungu kuona masikini kila siku wanazidi kua

Ukabila hutoisha KENYA

Nasema haya baada yakufanya utafiti wangu kuhusu hali Kenya,1963 Rais wakwanza mzee Jomo

Kenyatta,Aliongea vizuri sana kuhusu ukabila.

Waweza pata hotuba yake kwa Facebook au Twitter jina(name) M Rajab Ndothya.

Tafanyali jionee hali ilivyo kua siku hizo na leo hazina tofauti Uhuru Kenyatta ni hodari wakuongea sana jukwaani laki ukweli ni kwamba ukabila umepandika sana apa Kenya kabila kwa makabila yote ukabila na uwaminifu haupo kabisa.

Watu upeana vyeo kwakujuana tu,

C.E.O Wa vijana ni mfano hai Susan Mongera (Youth Agenda C.E.O)
KENYA KUNA WALIO MUZIDI KWA MARIFA NA KWAMASOMO,

LAKINI KAPEYA ICHO CHEO KWAKUJUANA TU

NANIMETOA KAMA MFANO.

SIO UKABILA TU NI SOTE KENYA ATUNA UAMINIFU.

SOTE JAPO WAKIKUYU NDIO WAZI WAZI NA SIVIBAYA KUMUPA KABILA LAKO CHEO LAKINI MPE MUTU KWA SIFA ZAKE ZA UADILIFU NA MWENYE KUJITUMA